Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katsaridaphobia – Hofu ya kuogopa mende. Hii huwafanya baadhi ya watu kufanya usafi wa kupindukia ili kuondoa mende.
 
Ailurophobia au Gatophobia – Hofu ya kuogopa paka. Inaelezwa kuwa Benito Mussolini na Adolf Hitler walikuwa na hofu hii.
 
Atychiphobia – Hofu ya kuogopa kushindwa. Hii ni kizuizi kikubwa sana cha mafanikio ya watu wengi.
 
1507568771081.jpg
 
Back
Top Bottom