Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hidden figuresNi muvi nzuri kwa kweli. Tunaona tu maroketi yanakwenda juu kumbe watu wameteseka na kuteswa sana - halafu wakasahaulika. Taraji kacheza vizuri.
Nimeyaona mengi saana ndio maana nikaupendaHebu na wewe toa likes kumi za chapu chapu...
Ingia kwenye uzi. Chimbua. Kuna mengi ya kujifunza ...
HahahahahaAna jicho zuri. Akitafuna kungu huyu patachimbika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mkuu nice song kwa kwelinaota unaniletea kifuko cha dhambarau...