[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] yaani wewe ni.... na utabaki kuwa....Yaani kila nikikufikiria waja huku[emoji19][emoji19]
Nimeiona furaha yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
We naweee[emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] njia ile ni nyembamba iendayo uzimani[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
Yaani hutaki mwanamke mwingine yoyote zaidi na huyo mmoja[emoji6]Nini maana ya committed to one woman
Kumbe ni nani?Sio mimi
COLEWORLDLOVESYOU
Mimi I got you. huyo ni ndugu yangu andjul imejitypeKumbe ni nani?
Halafu nimekuwaza kweli leo,Carba wa mie, Shem wangu mzuri,barafu wa moyo wangu(sijui nimevuka mpaka?),niambie mama...
Hivi hapa unanizungumzia mimi si ndio?Yaani hutaki mwanamke mwingine yoyote zaidi na huyo mmoja[emoji6]
Malizia sentensi basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] yaani wewe ni.... na utabaki kuwa....
Poa weka likesMi natoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona KK anakupa taabu sanaWe naweee[emoji23][emoji23]
Yaani vibwagizo kama hivi ndio vinanifanya nikumiss kwakweli