I know nothing abt u gal .. but whenever I see yo comment or sth napata hisia za kuoa!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]tatu mzuka
Acha nikacheze biko na mimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Katika tani moja ya simu za mkononi unaweza kupata dhahabu nyingi zaidi kuliko ambayo ungeipata kutoka kwenye gwangala la dhahabu (gold ore).
Hivi kuna ruksa ya kukuuliza maswali au tusome kisha tunyamaze?Dhahabu nyingi iliyoko kwenye kokwa (crust) la dunia imetokana na asteroidi zilizoanguka duniani.
Dhahabu nyingi zaidi ipo kwenye kiini cha kokwa la dunia kutokana na kuzama huko wakati dunia inaumbwa.
Tumiguu twembambaaaa!!! Wakati mwingine muumba hakupi vyote [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahaahahaha,[emoji3] [emoji3]Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi