Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tunafundishwa na vitabu vya imani kuwa Suleimani bin Dawood alikuwa tajiri kuliko matajiri, maana yeye amepewa hazina zote za madini. ispokuwa yeye hakushughulishwa na mali kama wengine wanavyopelekeshwa, kwakuwa yeye mali haikuwa kipaumbele chake.Inasemekana huyu ndiye mtu tajiri kuliko wote aliyewahi kuishi. Hata Mfalme Suleiman cha mtoto....
Dhambi yake imemuongoza kwenye tamaa iliyopitiliza[emoji2] [emoji1]Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi
[emoji113] [emoji113] [emoji106] [emoji106]Pesa ya noti siyo karatasi
Watu wengi wanafikiri kuwa pesa ya noti imetengenezwa kwa karatasi lakini si kweli. Malighafi zilizotengenezea pesa ya noti, mojawapo ni pamba. Imetengenezwa hivi ili iwe imara zaidi na yenye kukabiliana na mambo kama vile vimiminika na uchafu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]Pesa zina virusi vya mafua na cocaine
Utafiti umebaini kuwa kutokana na pesa kupita kwenye mikono na sehemu mbalimbali, nyingi zina virusi vya mafua na chembechembe za madawa ya kulevya (cocaine).
LISA LOPES (Left Eye).Left eye ndio ame Rip