Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inasemekana huyu ndiye mtu tajiri kuliko wote aliyewahi kuishi. Hata Mfalme Suleiman cha mtoto....
Tunafundishwa na vitabu vya imani kuwa Suleimani bin Dawood alikuwa tajiri kuliko matajiri, maana yeye amepewa hazina zote za madini. ispokuwa yeye hakushughulishwa na mali kama wengine wanavyopelekeshwa, kwakuwa yeye mali haikuwa kipaumbele chake.
 
Dhambi yake imemuongoza kwenye tamaa iliyopitiliza[emoji2] [emoji1]
 
[emoji113] [emoji113] [emoji106] [emoji106]
 
1. TIONNE WATKINS (ambae jina lake la Kisanii ni T BOZ).

2. LISA LOPES (ambae jina lake la Kisanii ni Left Eye).

Na

3. ROZONDA THOMAS (ambae jina lake la Kisanii ni CHILLI).

Sasa ukichukua Herufi moja ya Mwanzo ya kila Jina la Kisanii (kwenye mabano) ndio unapata TLC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…