[emoji16][emoji16][emoji16]salama. Kwenu jeWaleykum salaam
Habari jirani rafiki
Halafu wanaenda kombe la duniaWatu takriban asilimia 100 wa Iceland wanatumia intaneti
Nchi nzima ipo kwenye mtandao? Ndiyo, nchi ya Iceland ina wakazi wapatao 331,778 ambao takriban wote wanatumia mtandao wa intaneti.
Soma kisha tafakali,muda wa maswali haupoHivi kuna ruksa ya kukuuliza maswali au tusome kisha tunyamaze?
weka likes mkuu uzi unoge...MyoyaMbendi inatosha ndugu yangu duu izo like ulizozipata week mzima utosheki
wewe unavizia likes.. huwezi kupata.. kadiri unvyotoa ndivyo unavyopataMyoyaMbendi inatosha ndugu yangu duu izo like ulizozipata week mzima utosheki