Unapoona vitaarifu kama hivi kagua kifaa chako wewe mwenyewe kwa kutumia programu yako ya kukinga virusi au sasisha porgramu zako kwa kufuata utaratibu uliozoeleka.
Katika ulimwengu wa leo nywila au password si jambo geni. Mara kadhaa umeona au kutumia password katika vitu na maendeo kadhaa kama vile benki, simu, kompyuta n.k.