Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usitumie programu maalumu za kutengeneza nywila

Kuna programu zijulikanazo kwa lugha ya kiingereza kama (Password Generators) ambazo hutumika kutengeneza nywila imara. Hivi karibuni utafiti umebaini kuwa baadhi ya wadukuzi wamegundua alogaridhimi inayotumiwa na programu hizi; hivyo ni rahisi kwao kugundua nywila iliyotengenezwa kwa progamu hizi.
 
Usiandike nywila mahali

Unaweza kufikiri njia rahisi ya kuikumbuka nywila ni kwa kuiandika; lakini je ulishawahi kufikiri ikiwa mtu mbaya ataona ulipoandika nywila yako? Jibu ni kuwa ataipata nywila yako na kuitumia kihalifu; hivyo basi jitahidi kuikumbuka kichwani mwako na si kuiandika mahali.
 
Nimemaliza kugonga likes za kimya kimya kwa kila post 7 hours back. Kama unepost kitu hapa kuanzia sasa all the way 7 hours back na hujaona like yangu kanitangazeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji wakakutangaze tena??[emoji15][emoji15][emoji15]
Ni wewe umeandika ama??
 
Usimpe mtu nywila yako

Mara nyingine watu huwa na mazoea ya kuaminia kupita kiasi hata kufikia hatua ya kushirikishana nywila. Swala hili si jema kwani huwezi kujua mtu unayempa nywila ataitumiaje au naye atampa nani. Ili kuhakikisha usalama wa nywila yako ni vyema ukaepuka kumpa mtu mwingine yeyote nywila yako.
 
Nilifikiri unaongelea vibamia shemeji. Akili yangu hii mhhhh![emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Akili yako hata mimi siiamini siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom