Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara nyingi watu wanatumia nywila zenye mwaka wa kuzaliwa, harusi, kupata mtoto nk. Kwa mfano 1990, rose1990, king2001, love1980, n.k. Hii ni mafano tu ya kuepukwa kwani nywila kama hizi ni rahisi kubuniwa na mtu mwovu au hata programu za kidukuzi za kompyuta.
 
Usitumie programu maalumu za kutengeneza nywila

Kuna programu zijulikanazo kwa lugha ya kiingereza kama (Password Generators) ambazo hutumika kutengeneza nywila imara. Hivi karibuni utafiti umebaini kuwa baadhi ya wadukuzi wamegundua alogaridhimi inayotumiwa na programu hizi; hivyo ni rahisi kwao kugundua nywila iliyotengenezwa kwa progamu hizi.
 
Usiandike nywila mahali

Unaweza kufikiri njia rahisi ya kuikumbuka nywila ni kwa kuiandika; lakini je ulishawahi kufikiri ikiwa mtu mbaya ataona ulipoandika nywila yako? Jibu ni kuwa ataipata nywila yako na kuitumia kihalifu; hivyo basi jitahidi kuikumbuka kichwani mwako na si kuiandika mahali.
 
Nimemaliza kugonga likes za kimya kimya kwa kila post 7 hours back. Kama unepost kitu hapa kuanzia sasa all the way 7 hours back na hujaona like yangu kanitangazeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji wakakutangaze tena??[emoji15][emoji15][emoji15]
Ni wewe umeandika ama??
 
Usimpe mtu nywila yako

Mara nyingine watu huwa na mazoea ya kuaminia kupita kiasi hata kufikia hatua ya kushirikishana nywila. Swala hili si jema kwani huwezi kujua mtu unayempa nywila ataitumiaje au naye atampa nani. Ili kuhakikisha usalama wa nywila yako ni vyema ukaepuka kumpa mtu mwingine yeyote nywila yako.
 
Akili yako hata mimi siiamini siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…