Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona eeh! Eti kama jana from nowhere nikaku[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]. Akili hovyo kabisa hii. Imagine kama Cole angeona? Ubro si ungekufa? Au Andjul? Au kale katineja kakongwe? Moto si ungeniwakia?
Halafu hata sijui walikuwa wapi,mana mzee wa tukuyu ungemsikia"we mzee wewe jiangalie"[emoji23][emoji23]au angeimba gospo zake
 
Unajua hapa unaangalia avatar ya mtu na vitu anavyopost basi unamjengea haiba fulani akilini mwako. Nilikuwa nimejenga haiba kuwa u binti wa kiislamu tena mwenye msimamo mkali. Ndiyo maana nilipoona umeweka picha za aina hiyo nikashtuka. Mitandao hii we acha tu !!!
Ndivyo ilivyo Wala Hujakosea muda.
 
Kilimo
19715e3b798f5bef957618a3fefad94e.jpg
 
Back
Top Bottom