carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Halafu hata sijui walikuwa wapi,mana mzee wa tukuyu ungemsikia"we mzee wewe jiangalie"[emoji23][emoji23]au angeimba gospo zakeUmeona eeh! Eti kama jana from nowhere nikaku[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]. Akili hovyo kabisa hii. Imagine kama Cole angeona? Ubro si ungekufa? Au Andjul? Au kale katineja kakongwe? Moto si ungeniwakia?
Ndivyo ilivyo Wala Hujakosea muda.Unajua hapa unaangalia avatar ya mtu na vitu anavyopost basi unamjengea haiba fulani akilini mwako. Nilikuwa nimejenga haiba kuwa u binti wa kiislamu tena mwenye msimamo mkali. Ndiyo maana nilipoona umeweka picha za aina hiyo nikashtuka. Mitandao hii we acha tu !!!
Myoyambendi16:44
Leo zitatimiaLikes hazijatimia bado
Carba habari yakoHaya shemeji maana limekaa kiswahili na kisharishari kweli[emoji19]
Karibu Mchina. Ulikuwa umepotea tena. Tayari tulikuwa tumeanza kuingiwa na wasiwasi.Habarini humu
Zitimize kwa kutoa likes kwa wengine pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya shemeji maana limekaa kiswahili na kisharishari kweli[emoji19]
Safi tu mchina,habari ya weweCarba habari yako
Asante mkuu Shimba.Karibu Mchina. Ulikuwa umepotea tena. Tayari tulikuwa tumeanza kuingiwa na wasiwasi.
Tupo[emoji4]Shimba na shemejiye Carba
Sana mkuusiku inakimbia
Hii quote ni yangu kweli?[emoji20][emoji20]Zitimize kwa kutoa likes kwa wengine pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo Mchina. Ka-Uniq kalikuwa kameanza tena kupita pita humu na kujigamba gamba eti kenyewe hakachezewi chezewi. Afadhali umeibuka kikomandoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shimba na shemejiye Carba
Eti karanga mbichi