mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wacha tugonge likes
Ameacha mgogoro wa kikatiba!! Tume haijui ichukue hatua gani........Rais Kenyatta amjia juu Raila Odinga baada ya kutangaza kujitoa
Rais Uhuru Kenyatta amemjia juu Kiongozi wa NASA Raila Odinga baada ya kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 26 mwaka huu nchini Kenya na kusema hata kama amejitoa Katiba ya Kenya haizuia uchaguzi kutofanyika
Kenyatta amesema kuwa Odinga alitaka uchaguzi urudiwe jambo ambalo limeigharimu nchi ya Kenya fedha nyingi ambazo zingeweza kutumika kujenga barabara, zingeweza kutumika kujenga mahospitali na kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi, lakini anashangaa mtu ambaye ametaka uchaguzi kurudiwa anajiengua tena.
Siasa uchwara in SYB's voice[emoji23][emoji23]
Salam mkuuSalaam wananchi
Salama kabisaSalaam watanzania