Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Marufuku kukata tamaaaHakikisha hukati tamaa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakikisha Andaeitini ameacha kutembea na shehena ya maua
Aisee kapotea sana labda mkwe wake kk ajibu yukoHakikisha Bob ameaondoka Mogadishu salama
Atarudi mkuuHakikisha Goddess ISIS anarudi - Yeuwiii wallahi
Kama kawaida mkuuHakikisha Mzee wa Liver anaendelea kutoa likes kwa kila mtu
HahahahahaHakikisha CHAWAMITA kinazidi kuimarika daima
HahahahahaHakikisha wabomoa mazizi ya watu wanapungua katika uzi huu
InawezekanaHakikisha kuwa angalau ndoa moja inafungwa kutokana na uzi huu
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]basi acha kulia dogoDogo nimekwambia ni ujainga hilo lingine ni kali sana.
Unizidi sema najifanya mgumu ila naumia kimya kimya
Jirani rafiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakikisha Moudgulf na Nsamaka wanaendeleza urafiki wao