carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji106][emoji106][emoji106]Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool, Sadio Mane kuwa nje ya uwanja kwa wiki sita
KLABU ya Liverpool imepata pigo kufuatia habari kwamba mshambuliaji Sadio Mane ameumia nyama za paja na anatakiwa kuwa nje kwa wiki sita.
Cc:mzee wa liver
Kichwa kichafu eti carba kawa mshabiki wa EPL kuanzia lini?Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool, Sadio Mane kuwa nje ya uwanja kwa wiki sita
KLABU ya Liverpool imepata pigo kufuatia habari kwamba mshambuliaji Sadio Mane ameumia nyama za paja na anatakiwa kuwa nje kwa wiki sita.
Cc:mzee wa liver
Nishabikoe ipielo vikorea nimuachie nani?Kichwa kichafu eti carba kawa mshabiki wa EPL kuanzia lini?