Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nipo nyuma huko
Hahahahahahah.........Huna tofauti na yule mfalme alie muweka mume wa yule mama front line ili afe yeye anendelee nae.
Yap IDD 60k
Mghana huyuMarcel Desaily
Pilau makinikiaKuna aina mpya ya Pilau imegundulika
Inaitwa Pilau Makinikia. Hili ni pilau lenye kiasi kidogo cha nyama, yaani nyama mpaka uzitafute saana
Dah...kwa kweli[emoji17] [emoji18]Likes
The one and onlyISIS
Kabisa mamaTunaupeleka uzi kwa speed ya light and thunder
Niwie radhi mkuu nilisahau nipo mazingira gani samahani kama nimekukwazaHaya matusi sasa haaa
Muokota mipira [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi nilishiriki! [emoji23][emoji23][emoji23]
We sio mamamambo nimeona mtu anakuita mama kakusingizia au?
Speed of light and thunderKabisa mama
Nyundo tuTupo pamoja mkuu
Wapi kibitiEid Kesho ndugu
Mwezi umeonekana tayali