Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hutoa muda wa mwili kujijenga

Miili yetu inahitaji kujijenga kila mara hasa baada ya shughuli nyingi. Kwa njia ya kupumzika utaweza kuupa mwili wako nafasi nzuri ya kujijenga na kurejeshha tena nguvu iliyotumika wakati wa shughuli mbalimbali.
 
Huimarisha misuli

Tunapopumzika misuli yetu inajijenga na kurudisha ute wake uliopotea wakati wa shughuli mbalimbali. Hivyo ni muhimu kuhakikisha kila baada ya kazi tunapata muda wa kutosha wa kupumzika ili tuboreshe afya za miili yetu.
 

Napenda miguu yake anavyo bania kwa juu (kiherehere cha kujibu swali bila kulielewa kitanifikisha pabaya) ili isichomoke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…