moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwani miongozo ya kisiasa ilizuia urafiki mkuu? mbona hata sisi tuna marafiki wa kisiasa hapa home ingawa kwenye majukwaa ya kumwaga povu mtatukanana, lakini urafiki wetu upo tu!!!![emoji3]Walikuwa marafiki wakubwa japo mpaka leo haijaeleweka ni kwa nini hasa ukizingatia kuwa mmoja alikuwa Mjamaa/Mkomunisti - kinyume kabisa na mwenzake....