Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TUJIFUNZE KUTUNZA SIRI

KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi;
Mteja: Samahani, naomba kujua kama chumba namba 39 kiko wazi.
Bosi: Ndiyo, kiko wazi.
Mteja: Naweza kupata chumba hicho?
Bosi: Ndiyo unaweza kupata.
Mteja: Ahsante sana.
Baada ya mazungumzo hayo, kijana alilipia chumba alichohitaji, kisha kabla ya kwenda chumbani alimwomba bosi amletee kisu cheusi, uzi mweupe wenye urefu wa sentimita 39 na machungwa 39. Bosi alikubali, japo alishangazwa sana na vitu alivyoagizwa na mteja wake. Baada ya hapo, mteja alikwenda chumbani bila kuagiza chakula wala kitu kingine chochote.
Kwa bahati, chumba cha bosi kilikuwa jirani na cha mteja huyo. Usiku wa manane, bosi alisikia sauti za ajabu na kuogofya. Sauti kama za wanyama mwitu wakishambuliana, pamoja na sauti za vyombo vikivunjwa sakafuni. Siku hiyo bosi hakupata lau lepe la usingizi - hakulala kabisa. Alibaki akistaajabu na kutafakari sababu za sauti zile.
Asubuhi ya siku iliyofuata, wakati mteja akikabidhi funguo za chumba kwa ajili ya kuondoka zake, bosi akaona hapana, huyu si wa kumwacha. Akamtaka wafuatane hadi chumbani kuhakiki usalama. Walikwenda pamoja hadi chumbani na kukuta kila kitu kikiwa sawa bin sawia. Zaidi, alikuta na kile kisu cheusi, uzi mweupe na machungwa vikiwa juu ya meza. Bosi alibaki mwenye huzuni na taharuki, asijue siri ya mkasa ule.
Mwaka mmoja baadaye, mteja yule aliibuka tena hapo hotelini. Akaomba tena kuonana na bosi. Bosi alihamanika vilivyo kumwona mteja wake wa siku nyingi, utadhani ameona jini. Kama awali, mahitaji ya mteja yalikuwa yale yale; chumba namba 39, kisu cheusi, uzi mweupe sentimita 39 na machungwa 39. Safari hii bosi aliazimu kuutafuta ukweli kwa njia yoyote iwayo. Alimkirimu mgeni wake kama ilivyo ada, kisha usiku alibaki macho kusubiri sauti zile za ajabu. Usiku wa manane balaa likaanza: sauti za ajabuajabu na ghasia vilianza, safari hii kwa sauti ya juu maradufu ya ile ya mwaka mmoja nyuma.
Asubuhi kulipopambazuka, mteja aliondoka akiwa na furaha na bashasha. Chumba kilikuwa salama u salimini. Bosi alihamaki baada ya kushindwa kubaini siri iliyogubikwa na mkasa ule. Alijiuliza kwanini chumba namba 39? Kwanini machungwa tisa? Kwanini kisu cheusi? Kwanini uzi mweupe? Basi, kwa kukosa majibu ya maswali hayo, bosi aliomba uzima tu kwa Mungu wake ili mwaka utakaofuata, mteja huyo afike tena hotelini hapo.
Kama mzaha vile, mwaka uliofuata, mteja yule alirejea na mahitaji yaleyale kama ya miaka miwili iliyopita. Kama kawaida, usiku bosi alitaabishwa na hali ileile ya sauti za kelele na za kutisha. Ilipotimu asubuhi wakati mteja akiondoka, bosi alimtaka radhi na kumwomba amweleze siri iliyo nyuma ya yote yaendeleayo chumbani kila afikapo hotelini hapo.
Mteja: Ni siri kubwa mno. Je, nikikwambia utaweza kuitunza na kuidhibiti bila kuivujisha?
Bosi: Nakuahidi sitaivujisha siri hiyo, nijulishe!
Bahati mbaya, mpaka hivi niandikavyo habari hizi, bosi hajavujisha siri aliyosimuliwa. Tuombe uzima, siku akiisimulia tu nami nitaiandika hapa kwa ajili yenu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua mmenuna Kama unatusi lolote plz inbox sio humu.
*TWENDE TUSUMBUE GROUP INGINE*
 
North Korean hackers allegedly stole classified military documents from a S. Korean database in 2016, lawmaker says http://cnn.it/2yeXRJs

DL2ryxqUMAEQ1n6.jpg
 
6 REASONS WHY SOME FARMERS FAIL

People don’t just fail. People fail because they fail do certain things that they ought to do. The farming industry is replete of many farmers who have given up. Let’s quickly explore the six vital reasons why they failed.

1. They are absent. Absentee farmers will always fail. To succeed in farming, you must be around your farm most of the time one way or the other.

2. They do it alone. Those who do the farming business just by themselves without meaningful and proper interactions with farmers that matters will pack up sooner or later. No one can succeed alone. A smart farmer knows that there are webs of interactions with farmers, vets, nutritionists and other notable professionals that will make farming successful.

3. They like cheap inputs instead of going for quality. A cheap mentality at the expense of productivity will always lead to frustrations. When a farmer is fanatical about cheap inputs, he is digging his business grave.

4. They bite more than they can chew. Some farmers, in a bid to make it big fast will take on more than they can handle financially and technically. And of course they will crash!

5. They don’t keep proper records. Structures and order usually bring increase. What you don’t measure may not grow and may even die.

6. They focus more on work than science. One Israeli prime minister once said that agriculture is 95 percent science and 5 percent work. When a farmer focuses more on activities than the laid down scientific obligations, he is bound to fail.
 
Jamani leo ni siku ya kushika matiti ya wanawake duniani "World Breast Touching Day". Hii ni ili kuwasaidia kinamama wasipate kansa ya matiti. Wasaidie akina mama na wadada walioko karibu yako kwa kuwashika matiti yao. Ubarikiwe sana
Kama huna wa kumshika utafanyaje mkuu? Hata hivyo kalenda ikisoma siku ya kupapasa makalio pia tukumbushane[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
*LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TU*.........

*SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELE*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe huna mbio wala huna uwezo wa kupiga kelele ila kilichokukuta ni jitihada zako za kujiokoa tu. Waswahili husema hivi "ukimsifia babayako kuwa ana mbio, msifie na yule anayemkimbiza"
 
[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
*******************************
Wadada Wakiwa na Miaka 25 Kushuka Chini Wanataka Kuolewa na Wanaume na Wenye Prado, BMW, Vogue etc......

Akifikisha Miaka 30 Anataka Chochote Kinachonguruma Hata Kama Ni Tumbo..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TUJIFUNZE KUTUNZA SIRI

KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi;
Mteja: Samahani, naomba kujua kama chumba namba 39 kiko wazi.
Bosi: Ndiyo, kiko wazi.
Mteja: Naweza kupata chumba hicho?
Bosi: Ndiyo unaweza kupata.
Mteja: Ahsante sana.
Baada ya mazungumzo hayo, kijana alilipia chumba alichohitaji, kisha kabla ya kwenda chumbani alimwomba bosi amletee kisu cheusi, uzi mweupe wenye urefu wa sentimita 39 na machungwa 39. Bosi alikubali, japo alishangazwa sana na vitu alivyoagizwa na mteja wake. Baada ya hapo, mteja alikwenda chumbani bila kuagiza chakula wala kitu kingine chochote.
Kwa bahati, chumba cha bosi kilikuwa jirani na cha mteja huyo. Usiku wa manane, bosi alisikia sauti za ajabu na kuogofya. Sauti kama za wanyama mwitu wakishambuliana, pamoja na sauti za vyombo vikivunjwa sakafuni. Siku hiyo bosi hakupata lau lepe la usingizi - hakulala kabisa. Alibaki akistaajabu na kutafakari sababu za sauti zile.
Asubuhi ya siku iliyofuata, wakati mteja akikabidhi funguo za chumba kwa ajili ya kuondoka zake, bosi akaona hapana, huyu si wa kumwacha. Akamtaka wafuatane hadi chumbani kuhakiki usalama. Walikwenda pamoja hadi chumbani na kukuta kila kitu kikiwa sawa bin sawia. Zaidi, alikuta na kile kisu cheusi, uzi mweupe na machungwa vikiwa juu ya meza. Bosi alibaki mwenye huzuni na taharuki, asijue siri ya mkasa ule.
Mwaka mmoja baadaye, mteja yule aliibuka tena hapo hotelini. Akaomba tena kuonana na bosi. Bosi alihamanika vilivyo kumwona mteja wake wa siku nyingi, utadhani ameona jini. Kama awali, mahitaji ya mteja yalikuwa yale yale; chumba namba 39, kisu cheusi, uzi mweupe sentimita 39 na machungwa 39. Safari hii bosi aliazimu kuutafuta ukweli kwa njia yoyote iwayo. Alimkirimu mgeni wake kama ilivyo ada, kisha usiku alibaki macho kusubiri sauti zile za ajabu. Usiku wa manane balaa likaanza: sauti za ajabuajabu na ghasia vilianza, safari hii kwa sauti ya juu maradufu ya ile ya mwaka mmoja nyuma.
Asubuhi kulipopambazuka, mteja aliondoka akiwa na furaha na bashasha. Chumba kilikuwa salama u salimini. Bosi alihamaki baada ya kushindwa kubaini siri iliyogubikwa na mkasa ule. Alijiuliza kwanini chumba namba 39? Kwanini machungwa tisa? Kwanini kisu cheusi? Kwanini uzi mweupe? Basi, kwa kukosa majibu ya maswali hayo, bosi aliomba uzima tu kwa Mungu wake ili mwaka utakaofuata, mteja huyo afike tena hotelini hapo.
Kama mzaha vile, mwaka uliofuata, mteja yule alirejea na mahitaji yaleyale kama ya miaka miwili iliyopita. Kama kawaida, usiku bosi alitaabishwa na hali ileile ya sauti za kelele na za kutisha. Ilipotimu asubuhi wakati mteja akiondoka, bosi alimtaka radhi na kumwomba amweleze siri iliyo nyuma ya yote yaendeleayo chumbani kila afikapo hotelini hapo.
Mteja: Ni siri kubwa mno. Je, nikikwambia utaweza kuitunza na kuidhibiti bila kuivujisha?
Bosi: Nakuahidi sitaivujisha siri hiyo, nijulishe!
Bahati mbaya, mpaka hivi niandikavyo habari hizi, bosi hajavujisha siri aliyosimuliwa. Tuombe uzima, siku akiisimulia tu nami nitaiandika hapa kwa ajili yenu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua mmenuna Kama unatusi lolote plz inbox sio humu.
*TWENDE TUSUMBUE GROUP INGINE*
Nimefurahia simulizi yako. Nadhani hapa tunahitaji simulizi nyingi za aina hii ili tuburudike na uzi huu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mwenyewe hata hivyo alipenda sana kuabudiwa na kulambwa viatu. Kawaulize akina Kambona waliojaribu kuwa na fikra mbadala watakwambia ukali wa Mwalimu.
Enzi zake alianzisha sheria ya kuwekwa kizuizini. Kila aliyempinga ama kulipinga Azimio la Arusha hadharani alipelekwa mahali kupumzishwa. Christopher Kassanga Tumbo angekuwa hai angejazia nyama hapa. Na hiyo ni moja kati ya zile sheria mbaya 40 zilizomo kwenye katiba ambazo zimetakiwa kufutwa na Tume ya Nyalali ya mabadiliko ya kisiasa ( Tume ya vyama vingi)
 
Back
Top Bottom