Njema, habari za mchanaHabari za asbh
Mmojawapo wa wahanga wa mwanzo mwanzo wa UKIMWI wakati ule wakinyanyapaliwa. Ronald Reagan alikataa kuutanganza kama janga la kitaifa ili tafiti zianze kwa sababu aliamini kuwa ni ugonjwa unaowapata mashoga pekee. Baadaye alikiri kuwa hili lilikuwa ni kosa !!!
Ni kweli. Anaufanya uzi huu uwe wa aina yake kwa maarifa ya kila aina !!!![]()
numbisa, ubarikiwe
umetufunza mengi
Chama la misambwanda bado lipo?