Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Gambling generates more revenue each year than movies, spectator sports, theme parks, cruise ships and recorded music COMBINED.
Mwl JK Nyerere
UnasemaU.S. men's national soccer team fails to qualify for 2018 World Cup!
Ouch!!
Wapiganaji wa afrika
Wapiganaji wa afrika
JFK Na JKN
MkapaKuna kijana aliyekohoa wakati wake? Enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti? Vijana waasi enzi za Nyerere? Puliiiiziii !!!
Msuya ,babuMwenyewe hata hivyo alipenda sana kuabudiwa na kulambwa viatu. Kawaulize akina Kambona waliojaribu kuwa na fikra mbadala watakwambia ukali wa Mwalimu.
Mchonga
[emoji15][emoji15][emoji15]It hurts to love someone and not be loved in return
Hahahahaha alikuja kufanya tofauti kabisa Na maelekezo yakeMwanafunzi huyo katikati alipendwa sana na mwalimu ila sina uhakika kama mwalimu alimwelewa vizuri mwanafunzi wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha Wenger tenaAaaaaa jamani! Si walimtoa Klinsman wakaleta kocha mpya? Si wangemleta hata Wenga akasaidia? Sad !!!
Mkuu wa magereza ama?Mkuu
Roman CatholicWalikuwa marafiki wakubwa japo mpaka leo haijaeleweka ni kwa nini hasa ukizingatia kuwa mmoja alikuwa Mjamaa/Mkomunisti - kinyume kabisa na mwenzake....