Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JET kaingia Club kimachale machale.

Amekwenda kama Nigga hapo 😀.

Kwenye Filamu hii ananiua hapo wanapotaka kuingia Club, halafu Bouncer anakuwa hana imani hata kidogo na JET.

Lakini kutokana na nguvu ya TRISH (Jina alilotumia kwenye Filamu hii) ambae ndio AALIYAH, inabidi Bouncer awe matawi ya chini, na kuwaruhusu TRISH na HAN (ambae ndio JET, Jina alilotumia kwenye Filamu hii) kuingia Club.

Panoponiua zaidi, ni pale wameshuka kwenye Gari kisha JET anabugia Chewing Gum, na kisha kugeuza Kapelo mbele nyuma ili na yeye aende kama Nigga😀.

Maandalizi kabla ya kuingia Club.

Mimi hapana kuchoka kabisa Filamu hii (ROMEO MUST DIE).

Mimi penda sana Filamu hii Filamu (ROMEO MUST DIE)
Filamu moja bomba sana kwa jet Lee alijipanga vilivyo big rip aaliyah
 
a72bab34f7fcb4209bc35a1a28235afd.jpg
Mkuu habari za leo
 
HUN baada ya kupiga mkono mwingi sana, alichokuja kukiona hakuamini Macho yake.

Baada ya Helmet kuvuliwa alishangaa kuona aliekuwa anapigana nae mkono mkali kumbe ni Mlimbwende.

HUN akaona haya ni Masihara, hawezi kupigana na Mlimbwende na alichoamua kufanya ni kumtumia TRISH kupambana na Mlimbwende mwenzake.

Mkono ukawa wa Walimbwende kwa Walimbwende huku HUN akimpa Tafu TRISH kiujanja ujanja.


48411ab9ef2c0da0baf3c444286b6009.jpg
Nakikumbuka hiki kipande acha kabisa
 
Back
Top Bottom