Duh !!!Hapo HUN kamuibukia TRISH kiosama.
Mlango ulipogongwa na Mshua wa TRISH kuingia chumbani kwa TRISH ikabidi HUN ajibanze nyuma ya Mlango.
Mshua akatoka kisha akarudi kugonga tena, ikabidi kwa mara nyingine tena HUN ajibanze tena kwenye Mlango.
Mshua ile kutoka chumbani kwa TRISH, Mlango ukafungwa kisha HUN akatoroka na TRISH.
![]()