Kwenye Filamu hii ananiua hapo wanapotaka kuingia Club, halafu Bouncer anakuwa hana imani hata kidogo na JET.
Lakini kutokana na nguvu ya TRISH (Jina alilotumia kwenye Filamu hii) ambae ndio AALIYAH, inabidi Bouncer awe matawi ya chini, na kuwaruhusu TRISH na HAN (ambae ndio JET, Jina alilotumia kwenye Filamu hii) kuingia Club.
Panoponiua zaidi, ni pale wameshuka kwenye Gari kisha JET anabugia Chewing Gum, na kisha kugeuza Kapelo mbele nyuma ili na yeye aende kama Nigga😀.
Maandalizi kabla ya kuingia Club.
Mimi hapana kuchoka kabisa Filamu hii (ROMEO MUST DIE).
Mimi penda sana Filamu hii Filamu (ROMEO MUST DIE)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.