Kuna kijana aliyekohoa wakati wake? Enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti? Vijana waasi enzi za Nyerere? Puliiiiziii !!!
Mwenyewe hata hivyo alipenda sana kuabudiwa na kulambwa viatu. Kawaulize akina Kambona waliojaribu kuwa na fikra mbadala watakwambia ukali wa Mwalimu.
Wenzetu kule Kisiwani hawaamini mpaka leo kuhusu kilichotokea siku hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye picha hii Karume yuko wapi?
Doh noma sanaNimeshakupa Mkuu Humu ni like tu
Mwanafunzi huyo katikati alipendwa sana na mwalimu ila sina uhakika kama mwalimu alimwelewa vizuri mwanafunzi wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzetu kule Kisiwani hawaamini mpaka leo kuhusu kilichotokea siku hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaaa jamani! Si walimtoa Klinsman wakaleta kocha mpya? Si wangemleta hata Wenga akasaidia? Sad !!!U.S. men's national soccer team fails to qualify for 2018 World Cup!
Ouch!!
Wazalendo halisi. Long live KK na wengine waendelee kupumzika salama !!!
Walikuwa marafiki wakubwa japo mpaka leo haijaeleweka ni kwa nini hasa ukizingatia kuwa mmoja alikuwa Mjamaa/Mkomunisti - kinyume kabisa na mwenzake....
alikuwa anatishaMwenyewe hata hivto alipenda sana kuabudiwa na kulambwa viatu. Kawaulize akina Kambona waliojaribu kuwa na fikra mbadala watakwambia ukali wa Mwalimu.
Mandela alikuwa anamheshimu sana Nyerere (and vice versa)