Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Saahii nishachelewa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️... Pata hii kitu, inaweza kukusaidia!
View attachment 606824
Ukiongeza na Omega 3 kutoka kwenye samaki wa Ziwa Victoria, haishangazi...YES! [emoji123]
Saahii nishachelewa [emoji17][emoji17][emoji17]
Aaah!wapi wengine vilaza tu[emoji20]Wazaliwa wa kwanza mpo?
![]()
SantePoleee! [emoji1][emoji1][emoji1]
When are you getting married?
Sante
Asante,na kwako piaBasi uwe na siku njema!
Insomnia tena ya nini jamani? Kazini leo itakuwaje? Pole sana na asante kwa sala zako. Sijaokota hela. Makamera yote haya hata ukiokota hela pengine ni vizuri tu uzipeleke polisi vinginevyo utajiona kwenye TV laivu. Furaha yangu nadhani ni ya kisaikolojia zaidi.Ukawe na usiku mwema,Mungu akulinde
Umeokota hela nin[emoji23][emoji23]
Hongera kwa kuwa na furaha
Huku ndo kunakucha(kama nililala vile)
Acha niendelee kuzurura humu
Asante,na kwako pia
Ukinywa hii na usingizi usije headache utakayopata hutakaa usahau - hasa ikiwa ni cheap imejaa ma sulfates...[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️... Pata hii kitu, inaweza kukusaidia!
View attachment 606824
Hata sielewi mana si kawaida yangu.Insomnia tena ya nini jamani? Kazini leo itakuwaje? Pole sana na asante kwa sala zako. Sijaokota hela. Makamera yote haya hata ukiokota hela pengine ni vizuri tu uzipeleke polisi vinginevyo utajiona kwenye TV laivu. Furaha yangu nadhani ni ya kisaikolojia zaidi.
Kwenu ndo kumekucha eeh?Morning
Ungekuwa hapa karibu saa hizi ungekuwa na ngeu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]When are you getting married?
Nione unipige mawe sasa[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125]
Jamani[emoji134][emoji134]Ungekuwa hapa karibu saa hizi ungekuwa na ngeu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya madevu vipi? Nation of Islam ama? Akina nani hawa?