Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hata sielewi mana si kawaida yangu.
Asante,kazini tutapambana tu hivyohivyo mana kazi lazima ziende,ila cha moto nitakiona leo[emoji19][emoji19]
Haya hongera kwa furaha uliyonayo na uendelee kuwa nayo hadi utakapo amka asubuhi