Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ni kawaida tu mkuu. Kifo cha mende laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwema kabisa ndugu yangu.Nimeiweka hiyo picha lakini baadae nikakumbuka wee mzee na hawa kokurochi haziivi kabisaaaa... Nimekuonea huruma sana
Haya nimeacha sasa. Jaribu kulala ...Ila kuyashinda majaribu bila kuyajaribu ni uongo mkubwa.
Nataka niyashinde leo japo picha kama mbili hivi zinagoma kufutika kwenye kijaribio changu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu....nauoga wangu wooote wa kupanda ndege,hebu tanguliza huyo kiumbe mbele yangu halafu niambiwe "mfuate huyo dada"... Haki ya nani niendako nitafika salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Mr. Cheaman bwana. Pole na misukosuko. Relax kidogo...
![]()
![]()
Kula like hiyoMkali Tricks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu mkuu!
Piga kambi hapa uburudike na kuelimika katika uzi huu !!!Kula like hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua akitokea carba ana lake la kunisema kwa kujibu swali visivyo.Ni kawaida tu mkuu. Kifo cha mende laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]