carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unajishebedua in andjul's voice[emoji23][emoji23][emoji23]Loh, hv kumbe upo?
Unajishebedua in andjul's voice[emoji23][emoji23][emoji23]Loh, hv kumbe upo?
Hahhaha mm mwenyewe nakuona km kaka yangu tu.*KAMA NAKUTONGOZA BORA UNIKATALIE TU KULIKO KUSEMA NAKUONA KM KAKA YANGU*
*HIVI UNADHANI DADA ZANGU CWAJUI MIMI*
*Pumbavu sana sipendi ujinga kbsa*
Nawaona nawaona tuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi sitaki upate ukilema wa macho mana utashindwa kuona vitu vizuri
Mweh!Na kwako pia mpendwa wangu[emoji12]
Tena unikome ww mwanamkeUnajishebedua in andjul's voice[emoji23][emoji23][emoji23]
jirani ukipika unazidisha na cha mgeni..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaangalia tu
he!Tena unikome ww mwanamke
Eeeh anikome kbs hahahahah
jamani...jirani yangu mbona mpoleEeeh anikome kbs hahahahah
Mna baraka...Huku kwetu mvua jamani,dah
Jeuri sana huyo mwanamke, hujamjua tu.jamani...jirani yangu mbona mpole
Kwakweli ni baraka.Mna baraka...
ni utani wake tu wala hayuko hivyo..Jeuri sana huyo mwanamke, hujamjua tu.