Salaam kwako malkia ISIS
Salaam kwako mwana mpotevu GeJo
Salaam mgonga likes wetu muhimu cleverKING
Mbona mimi na wewe atuchoki broo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jamaa naye naona mwishowe alichoka. Huu uzi bana we acha tu !!!
Salama habari ya weweHahahahaha
Habari za mchana huu
Kipenzi ndio nimeonekana ila nao suprise tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamkaje kipenzi
Huku sasa ni kuibianaGym ni kupoteza muda tu. Kumbe kuna njia za mkato [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Macho kodo mzee wa nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikawa nakuchungulia tu unavyo tiririka na mzee mwenzangu KK.
Niaje mama