Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mzee wa novida
Duh!Nyie bila aibu mnafukuzia mpaka kamalaika kake mlikuwa mnafikiri angejisikiaje?
Kwamba mimi na KK ndo tumemfanya akimbie uzi??seriously??unakimbia uzi sababu umetaniwa?ajabu hiiCc kichwa kichafu na mpambe wake carbamazepine, wakija waulizwe
Ulinikimbia asubuhiKipenzi ndio nimeonekana ila nao suprise tena
Hivi hii soda bado ipo?Novida
Acha tu nikatambike[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nimefika sasa. Anayetaka likes na aseme. Kimya kimya naanzia mbele na kurudi nyuma mpaka nitakapochoka. Usipopata like yangu basi katambike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mwanaume akijua kupika me hoooii[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mwanaume anayejua kupika anaweza kuandaa chakula popote na wakati wowote ambao atatakiwa kufanya hivyo bila shida yoyote.
Kama kawaida tuNikishinda million 80,sijui ita akuwaje
Nimesikia maajabu yake Leo daah Dunia ina mamboHivi hii soda bado ipo?
Jumamosi saa nane na nusuNzuri mzee wa liver
Nijuze na mimiNimesikia maajabu yake Leo daah Dunia ina mambo