Ni ukweli usiopingika kuwa utunzaji wa familia katika swala la lishe utakuwa na changamoto kama njia mbadala hazitatumiwa. Hivyo mwanaume kujua kupika kunakupa uwezo wa kuhudumia familia vyema wakati wowote bila shida yoyote.
Maarifa ya maisha (life skills) ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Mwanaume mwenye ujuzi wa kupika ni tofauti kabisa na mwanaume asiyejua kupika.
Kumbuka! Sikiliza mziki kistarabu na kwa kiasi; hakuna haja ya kufungua mziki kwa sauti ya juu mtaa mzima au kusikiliza mziki saa 24 bila kufanya kazi kwa kigezo tu kuwa kuna manufaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.