mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli mkuuAlbum yake hii.
Hakuna Nyimbo hata moja utakayoirusha.
Yaani zote Bomba
Kweli mkuuAlbum yake hii.
Hakuna Nyimbo hata moja utakayoirusha.
Yaani zote Bomba
YapAALIYAH - Down with the Clique
SIMULIZI, MCHAMUNGU NA MFALME MTATA. Kulitokea Mchamungu mmoja kwenye nchi ya Mfalme Bwanga. Mchamungu huyu alikuwa maarufu kwenye mji alioishi mfalme Bwanga. Siku moja Mchamungu alikuwa muhitaji, na hitajio lake hasa lingeweza kutatuliwa na mfalme maana lilihitaji kiasi furani cha fedha. Hivyo Mchamungu akajitosa kwenye jumba la kifalme kuonana na mfalme Bwanga. Baada mfalme kufikishiwa taarifa juu ya ujio wa Mchamungu akaruhusu aingie.
Inandelea....
Npo nduguMkuu upo
Back back and forth nowAALIYAH - Back and Forth
Karibu mkuuSiku chache hizi kazi zinabana sana
I like this. I wish Africa ingejua kuwa yenyewe ni SBY and start acting like it. Probably things would change !!!
Indeed mkuuAALIYAH - Age ain't nothing but a number.
Nyimbo inayobeba Album
Pamoja mkuuNimeamua kurudi kurasa 200 nyuma ili kumwaga likes kwenye post zenu.
Tulishaambiwa. Ni rahisi sana kuona vibanzi katika macho ya wenzetu kuliko macho yetu wenyewe. Mke mwema hapatikani bila ya kuwa na mwanaume mwema !!!
Cc kichwa kichafu na mpambe wake carbamazepine, wakija waulizweNyie bila aibu mnafukuzia mpaka kamalaika kake mlikuwa mnafikiri angejisikiaje?
Kinadharia sawa. Shida ni uchu na tamaa ya binadamu !!!
Uniq [emoji3] [emoji3] [emoji3] shemeji yako, hahaha. Mwanafunzi mtaataUniq siyo mtu mzuri ndugu yangu !!!
Mkuu. Kwema?
Nipo mkuu pale diamond jubilee kulikuwa Na uwanja mkubwa sana mchanga tupu watu walizoea kuja kujifunzia Magari pale ndio uwanja wetu mkubwa wa kupiga boli Na hockeyWapi mzee wa liver, sogea hapa tukumbushane mambo ya kipindi kile pale mitaa ya undali, nyang'oro, magole, kitonga, alykhani, olympio, lugalo, nk. Enzi zileee pale Diamonds Jubilee[emoji3] [emoji3] kumbuka kitu mkuu
Like dad, like daughter. Laila Ali.....
Yupo mkuuWapi Andjul, tumekumiss sana hapa
Anasaka moneyWapi malkia mpenzi ISIS. Asee njoo utusalimie angalau kidogo kisha uendelee na 50 zako
Full kipupwe peninsular mkuu. Kujibinua lazima !!!Kajibinua au ndivyo alivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi mchina wa Kibiti ho chi minh, umefichwa au kuhificha huko Bungu, mkongo, zimbwini, ngolongo, kipu kipugila, mloka, mtemele, utete nk?