Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Vita vya likes havijawahi kumuacha mtu salama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Vita vya likes havijawahi kumuacha mtu salama!
Pamoja mkuuTuko poa jembe
Kweli mkuuCOUTINHO kwa dau hilo acha aende tu
Haina kwerePamoja sana Kiongozi
Mkuu. Kwema?
Hahahahaha za mchanaLikes za mida ya wanga
Tulishaambiwa. Ni rahisi sana kuona vibanzi katika macho ya wenzetu kuliko macho yetu wenyewe. Mke mwema hapatikani bila ya kuwa na mwanaume mwema !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo yanaenda ndivyo sivyoKulikoni!
HahahahahaHarufu hunitakii mema na hizo picha..
Naona umechukuliwa na jeshiNipo mkuu pale diamond jubilee kulikuwa Na uwanja mkubwa sana mchanga tupu watu walizoea kuja kujifunzia Magari pale ndio uwanja wetu mkubwa wa kupiga boli Na hockey
Mambo ya Sita kwa Sita sio mazoezi mbona Mimi huwa jasho linamwagika sana
Wazungu misambandwa watatoa wapiJLO naye eti ndo huwa anasifiwa ana msambwanda wa kutingisha Hollywood nzima. Wazungu bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ni starehe. Na starehe ya kunako sita kwa sita inanoga unahisi huna dhambi Kabisa, upo mtakatifuMambo ya Sita kwa Sita sio mazoezi mbona Mimi huwa jasho linamwagika sana