Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uuuuuh lini my dia,barafu wa moyo wangu ili nijiandae kukapokea hako key.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una maneno marembo kuliko hata urembo wa sura yako. Raha ya binti sauti nzuri buanaaa. Nsha legea kwisha habari yangu, hebu nitumie kanamba kako nikukandamize na tu milioni tutatu twa nauli kesho.
 
Hahahah usijali mpenzi,ngoja nichangamke kutuma namba nipate tu chenchi twa nauli nikiwa nasubiri noah yangu,hapana chezeiya mzee wa makinikia. Mil 3 km mia tatu tu kwako.
 
Back
Top Bottom