Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Afadhali kama ni hivyo. Uwe na wikiendi njema. Ikibidi kamtembelee KK Kibiti wiki hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nimelala kutwa nzima shemeji[emoji15][emoji15]
Naombeni kuuliza..
hivi tabia ya msichana kupenda kula udongo ilhali hana mimba wala hajawai kuzaa tatizo ni nini na suruhisho lake...?
Daktariiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umenichekesha sana basi tu !!!Opareshen ya kutoa madonge ya mchanga ndo suluhisho lake
Hivi huoni kila nikikupeleka foleni mnakuwa ke pekee. Hebu nenda kwa yule mpemba na upunguze vicheko mbele yakeLeo twende kwa mpemba pale tukale chips[emoji6][emoji6]
Home tuu napumzika maana hii week nzima nimetoka usiku kazini.Kwema hivyo hivyo tu. Maisha yanakwenda. Wikiendi kujirusha wapi?
Yes. Yeye Alishaahidi. Hatatuacha [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sawa shemNiliona post ya Jakitoo mahali. Nimesharekebisha. Hii kupost haraka haraka nayo hii ni shida !!!
Asante kwa kuiona hiyo maana moto ambao ungeniwakia sijui ingekuwaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No way,sijui huwa mnawaza nini khee eti nimelilia aiseee. Michezo ipi hii ya kutype uwiii nishaicheza sana mpaka kukinai saiv nimebaki mtazamaji tu wa maigizo ya wapendanaoHahahaha, numbisa analilia appreciation na KK!![emoji3] [emoji3] hivi kweli haijui michezo yake au..[emoji3] [emoji3] [emoji3] . amelegeza msimamo[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu!! Mkuu nimecheka mpaka watu wananishangaa..
Niko hapa dogo[emoji7][emoji7]Sijakuona vizuri hebu njok karibu we dogo
Asante shem,na kwako piaAfadhali kama ni hivyo. Uwe na wikiendi njema. Ikibidi kamtembelee KK Kibiti wiki hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Yes. Yeye Alishaahidi. Hatatuacha [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Basi nenda wewe[emoji6][emoji6]Hivi huoni kila nikikupeleka foleni mnakuwa ke pekee. Hebu nenda kwa yule mpemba na upunguze vicheko mbele yake