myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
upendo kwa woote
Hahahaha, numbisa analilia appreciation na KK!![emoji3] [emoji3] hivi kweli haijui michezo yake au..[emoji3] [emoji3] [emoji3] . amelegeza msimamo[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu!! Mkuu nimecheka mpaka watu wananishangaa..Appreciation hii ya KK sidhani kama ni ya likes. Mtongozano huo mkuu. Ndiyo maana nikafikiri pengine umelegeza msimamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi za mapovu tatizo lake huwa hazina mshindi. Rocky City kwema lakini? Pamoja!!!
Gracias Shimba!Mungu Akuongoze mkuu na kubariki kazi za mikono yako as usual. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]