Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9b71b7a5d9d51f33ae68871504005a8a.jpg
 
And why should I forget this day. Nimekutana na kaslay queen kengine mimi kama mwanamme nikatupa mistari mbio mbio mtoto akajipa. Bahati mbaya mvua ikatupata kwa njia na hakukua na place ya kujikinga ikabidi tumetembea tu kwa io mvua teketeke. Not long mvua ikaisha. Mimi kupinduka kwa dame naona mtu anakaa familiar [emoji23][emoji23]. Kumbe makeup yote ilioshwa na mvua yote sasa anakaa naona kumbe ni wife wa pastor wetu hapa. Sasa tulibaki apo tunaangaliana tu for 30 min
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole mkuu
 
Kuamka mapema asubuhi kuna manufaa mengi sana. Unapoamka mapema asubuhi unaongeza ufanisi na tija katika utendaji wako wa kazi. Kumbuka pia muda wa asubuhi ndipo mtu anapokuwa na afya njema kiakili na kimwili; hivyo kuamka mapema kutakuwezesha kuutumia muda huu vyema.
 
Pamoja na umuhimu huu wa kuamka mapema, siyo watu wengi wanaoweza kutimiza lengo lao la kuamka mapema. Zipo sababu mbalimbali zinazosababisha tatizo hili kama vile matatizo ya kiafya, kisaikolojia na hata kimazingira.
 
Back
Top Bottom