[emoji23][emoji23][emoji23] we pimbi kweliDedication
Celina dion - i surrender!
Pimbi wewe
Nalala nataka kukupa uhusika katika ndoto za alfajiri![emoji23][emoji23][emoji23] we pimbi kweli
Ohoooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nalala nataka kukupa uhusika katika ndoto za alfajiri!
Tayari umekwisha pewa uhusika. Hafu achana na mimi pimbi we nisije kutoboa hadi asubuhi[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji7]Ohoooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uhusika mpe jirani yako[emoji23][emoji23]
Mark Wahlberg
Unajua wote wamenikimbia humu?na wewe unaondoka daah![emoji22][emoji22][emoji22]Tayari umekwisha pewa uhusika. Hafu achana na mimi pimbi we nisije kutoboa hadi asubuhi[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji7]
Na wewe usingizi umekata?Mbali ya kumkosa Ngoma wachezaji wengine ambao watakosekana kwenye kikosi cha Yanga ni kipa namba tatu Ramadhani Kabwili na kiungo mshambuliaji chipukizi Said Mussa ambao wapo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes’.
Shemeji bado upo?Na wewe usingizi umekata?
Mark Wahlberg
Kiongozi.
Huyo Chakula kitambo.
Na kuna Jason Collins.
Nae ni Chakula
Usingizi sina kabisaaa yaani hata roboShemeji bado upo?
Uzi huu nakwambia ni shida. Si ajabu daktari hapo kaamka tu kwenda msalani basi akaona atupie kitu kidogo. Na ukishagusa simu tu mwanga ule na concentration usingizi kuja kuupata tena ni shida. Simu mi nazima halafu naiacha sebuleni kabisa !
Karibu....mm tangu saa saba nakula tuu Movies.now nacheki Black Coffee.Usingizi sina kabisaaa yaani hata robo
Hapa naenda cheki movie mana sina jinsi
Uwe na siku njema shemeji
Ubarikiwe[emoji120]
My gosh! Na kesho unakwenda kazini? [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]. What's going on?Usingizi sina kabisaaa yaani hata robo
Hapa naenda cheki movie mana sina jinsi
Uwe na siku njema shemeji
Ubarikiwe[emoji120]
Wewe si ajabu bado unahesabu dola na kupanga mahesabu ya kesho sawa sawa. Hata kama ni mimi ningekesha aisee tena kwa furaha kabisa !!!Karibu....mm tangu saa saba nakula tuu Movies.now nacheki Black Coffee.
Hahahaaaa....kwema mkuu.Sio kihivyo bhana Dollar inekua ngumu bt hapa silali tena nangoja saa moja niingie mzigoni.Wewe si ajabu bado unahesabu dola na kupanga mahesabu ya kesho sawa sawa. Hata kama ni mimi ningekesha aisee tena kwa furaha kabisa !!!
Kwema lakini?