Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

[emoji95][emoji115]Stay focused. We often get sidetracked because we are worrying too much about whose watching, what they are thinking and what's being said.

Who cares.. Don't be held captive due to their harmless opinions. People can assume but they will never be able to predict your next winning move.

Albert Einstein clearly stated that the one who has never made a mistake has never tried anything new.

The world thrives from people who get out there and who don't mind being laughed at or ridiculed as long as they stay resilient and keep the vision of what is possible in front of them.

Live your dream but do not let your dream outlive you. There is more winning to do.

Believe the Champion in You!

Good morning &
Have a fabulous Friday [emoji253][emoji4][emoji110]

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
KISA CHA MFALME NA MCHAMUNGU... MFALME baada kuyashangaa matukio hayo yaliyotokea ndani muda mfupi usiozidi dakika 45, tangu alipotoka kwa mbwembwe kwenye kasri lake akiwa na kundi kubwa la askari wenye farasi na wapambe, akivinjari mitaani, mpaka kuja kutupwa porini akiwa mpweke. hakuwa na cha kufanya zaidi ya kutafuta njia ya kujinusuru na kadhia ya msitu huo. Mfalme akaanza safari ya kuitafuta nchi yake. Siku hiyo alikuwa na matumaini ya kufika kwake au jirani na kwake hivyo hakujisumbua kutafuta chakula wala maji. Alitembea akitafuta kuona hata nyumba ya raia wake, lakini wapi. Usiku ulipoingia akatafuta mti akaupanda ili kujinusuru na wanyama wakali wa msituni.
 
KISA CHA MFALME NA MCHAMUNGU...... Kulipopambazuka Mfalme akaweka nia, kwamba mchana huo apambane mpaka afike kwake. Na pia akawa na matumaini makubwa kuwa huko nyumbani familia yake, walinzi na raia wake wanamtafuta. Mfalme alitembea kwa morali. mchana ulipoingia mfalme alikuwa na njaa kali na kiu, asijue mahali pa kupata japo mihogo ya kuchoma, mahindi ya kuchoma kwa ndimu, achilia mbali chakula kizuri kwenye jumba la kifalme. Mfalme baada ya kufikiria kwa muda ikabidi atafute matunda ya porini ili apoze njaa. Na baadaye changamoto kubwa kwake ikawa mahali pa kupata maji ya kupoza kiu yake.
 
Back
Top Bottom