Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Malizia nikupasue[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe mbona....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huu uzi huu bana nyie acheni tu. Haitakaa itokee hapa JF !!!Nimepishana nae yupo serious anaenda kwake tayari amenunua.
ho chi minh njoo utupe mrejesho wa hizo six park na kitambk chako cha gongo kali
Rudia tena shemeji,yaani hapa nishadondoka[emoji87] [emoji87]Mimi ni mpishi mzuri shemeji. Na madarasa nimesoma kabisaa just out of curiosity. Mitihani nikafaulu. Na cheti nikapata !!! [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Kama Andjul yupo leo basi nafwaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mzima sema leo nilikuwa na Z3n@ @rT!$t kazi nzuri naona we pimbi[emoji6]
Nakaribia kukugawa tena kwa mkopo[emoji23][emoji23][emoji23]Acha nirudi huku uking'ata ng'ata we dogo[emoji23] [emoji23]
[emoji22][emoji22][emoji22]mmh!Huku kwema shemeji. Huzuni huzuni, furaha furaha lakini maisha yanaendelea.
Karibu sana. Breakfast nzuri yenye levo ya kimataifa utailia kitandani (na Cole wako, ofu kozi). Baadaye supu ya mbuzi (staili ya fyeye kutoka Chile), matunda (arrangement ya Kifaransa), light lunch (kaugali kadogo kalaini na mchicha organic ulionyunyiziwa nyama ya turkey iliyobanikwa), jioni tunarudi kikwetu jibapa na nyama choma laini. Karibuni sana. Nitawachinjia ndama aliyenona !!!Rudia tena shemeji,yaani hapa nishadondoka[emoji87] [emoji87]
Naomba nije koromije kwakweli nipate hiyo bahati hata siku 1[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uuuwiiii[emoji134][emoji134][emoji134]Karibu sana. Breakfast nzuri yenye levo ya kimataifa utailia kitandani (na Cole wako, ofu kozi). Baadaye supu ya mbuzi (staili ya fyeye kutoka Chile), matunda (arrangement ya Kifaransa), light lunch (kaugali kadogo kalaini na mchicha organic ulionyunyiziwa nyama ya turkey iliyobanikwa), jioni tunarudi kikwetu jibapa na nyama choma laini. Karibuni sana. Nitawachinjia ndama aliyenona !!!
Ni kawaida ya maisha. Roller coaster ya kisaikolojia. Ujana unaponuizwa na hisia kali zisizo na tahadhari, mara nyingi kinachofuatia ni mateso. Na mara nyingi matesoni humo ndimo mna kujitafuta na kujifahamu, kukua na hatimaye kuchomoza katika upande wa pili ukiwa mng'avu kifikra na mwenye dhamira mpya kama askari shujaa...[emoji22][emoji22][emoji22]mmh!
Mbona napata mashaka??[emoji15][emoji15][emoji15]
Pulizi donti kamu aloni. Kamu wisi Cole. Ai donti wanna bi kilidi [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Uuuwiiii[emoji134][emoji134][emoji134]
Oni mai weiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]