myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hekima na busara zetu
[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]ngoja nikazimue na jibapa kwanza nirudi kusoma tena naweza elewaNi kawaida ya maisha. Roller coaster ya kisaikolojia. Ujana unaponuizwa na hisia kali zisizo na tahadhari, mara nyingi kinachofuatia ni mateso. Na mara nyingi matesoni humo ndimo mna kujitafuta na kujifahamu, kukua na hatimaye kuchomoza katika upande wa pili ukiwa mng'avu kifikra na mwenye dhamira mpya kama askari shujaa...
[emoji117][emoji117][emoji117]Akili zangu hizi. Hata sijui naongelea nini. Wewe una fununu hata naongelea nini? Hebu nigongee tu like mi nisepe zangu aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]ngoja nikazimue na jibapa kwanza nirudi kusoma tena naweza elewa
[emoji117][emoji117][emoji117]nishagonga like[emoji23][emoji23]
Yeye atanifuata acha nitangulie mimi kwanza maana nishaanza sikia njaa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Pulizi donti kamu aloni. Kamu wisi Cole. Ai donti wanna bi kilidi [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Asante shemeji. Hivi jibapa siku hizi linauzwa sh ngapi?[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]ngoja nikazimue na jibapa kwanza nirudi kusoma tena naweza elewa
[emoji117][emoji117][emoji117]nishagonga like[emoji23][emoji23]
Haya karibu shemeji. Ngoja nianze kujiandaa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Yeye atanifuata acha nitangulie mimi kwanza maana nishaanza sikia njaa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]