Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
8129908535a17ceb757a486c6024c1a1.jpg
 
Hahahahaa kumbe duh basi kichwa hafai hadi MMU yeye anatafuta tu.
Shimba bana mie siamin mapenzi ya mtandaoni,nipo humu kupunguza machungu ya kuisoma namba,mengine kwa upande wangu ni kujiongezea stress tupu

Mapovu kwangu burudani hasa kubishana na anonymous raha sana. Rockcity tupo poa kabisa full graduation za form 4 kila kona
Appreciation hii ya KK sidhani kama ni ya likes. Mtongozano huo mkuu. Ndiyo maana nikafikiri pengine umelegeza msimamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mechi za mapovu tatizo lake huwa hazina mshindi. Rocky City kwema lakini? Pamoja!!!
 
Hahahahaa kumbe duh basi kichwa hafai hadi MMU yeye anatafuta tu.
Shimba bana mie siamin mapenzi ya mtandaoni,nipo humu kupunguza machungu ya kuisoma namba,mengine kwa upande wangu ni kujiongezea stress tupu

Mapovu kwangu burudani hasa kubishana na anonymous raha sana. Rockcity tupo poa kabisa full graduation za form 4 kila kona

Nimekupata bageshi. Mapenzi ya mtandaoni haya (hasa ya kwenye uzi wetu huu pendwa) mara nyingi (99.99%) ni utani tu. Ni njia mojawapo pia ya kupunguza machungu ya kuisoma namba.

Ila mi nikipita Mwanza nitakutafuta tu tuje tupambane kwa mapovu laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro bro
 
Back
Top Bottom