Tupo mkuu. Wikiendi inaendeleaje huko pwani?Habari zenu ndugu zangu
Hahaha, asante mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]N
No way,sijui huwa mnawaza nini khee eti nimelilia aiseee. Michezo ipi hii ya kutype uwiii nishaicheza sana mpaka kukinai saiv nimebaki mtazamaji tu wa maigizo ya wapendanao
Tupo kamanda mtaalamu wa Takwimu!Mpooo
Kama kawaida takwimu za kupikaTupo kamanda mtaalamu wa Takwimu!
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]