Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
kubana sana kwa uke; kama ulikua unaendelea kufanya mapenzi kawaida kisha unaona uke wake unabana sana uume wako au kama ulikua umeweka kidole kisha unaona kidole chako kinabanwa basi ujue amefika kileleni kwani hiyo ni misuli ya uke ambayo hujikunja kipindi hicho...
kulegea mwili ghafla; mara nyingi kabla ya kufika kileleni anakua amekukumbatia sana na kukushika lakini inatokea nguvu zote zinamuishia na kisha anatulia na kutofanya jambo lolote tena basi ujue amefika kileleni.