kubadilika kwa tabia ghafla; kama alikua anapiga kelele kipindi chote cha tendo na sasa amekaa kimya au alikua kimya muda wote na sasa anapiga kelele basi ujue kwamba amefika kileleni, baadhi ya wanawake huweza kukuchana na makucha mgongoni akiwa katika hali hii.
degedege; hii ni hali ya kukamaa na kulegea kwa misuli litaalamu inaitwa vibration, hutokea pale mwanamke anapokua amepiga mshindo kwa msisimko mkali sana. hutokea ndani ya sekunde chache kama 15 mpaka 30 na kuacha.