Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-14-14-36-14.png
 
mazoea ya kushiriki aina zingine za ngono; kuna aina zingine za ngono ambazo si za kawaida mwanamke akishazoea inakua ngumu sana kuacha hata akiolewa inakua vigumu kushiriki ngono za kawaida mfano mazoea ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile, kufanya ngono na wanawake wenzake, kufanya ngono na mtu zaidi ya mmoja mfano threesome au foursome.
 
Umri: kadri umri unavyozidi kwenda hamu ya kufanya ngono inazidi kupungua kwa wanawake na mwanamke anapofika miaka hamsini kitaalamu tunaita menopause homoni inayoitwa oestrogen hupungua sana na kumfanya awe na uke mkavu ambao hua na maumivu kipindi cha kushiriki ngono.
 
mazoea ya kushiriki aina zingine za ngono; kuna aina zingine za ngono ambazo si za kawaida mwanamke akishazoea inakua ngumu sana kuacha hata akiolewa inakua vigumu kushiriki ngono za kawaida mfano mazoea ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile, kufanya ngono na wanawake wenzake, kufanya ngono na mtu zaidi ya mmoja mfano threesome au foursome.
Mh!!
 
VIPIMO AMBAVYO HUFANYIKA
Kiwango cha homoni; kupima kuangalia kama homoni za uzazi ziko kwnye kiwango sahihi
Pelvic examination;hii hupimwa na daktari kuangalia kama kuna tatizo kwenye viungo vya uzazi vinavyochangia tatizo labda uke kua mdogo sana na kuleta maumivu, ukavu wa uke na magonjwa ya viungo vya uzazi yanayoweza kuleta maumivu kipindi cha tendo la ndoa.
 
Matumizi ya dawa za homoni ; dawa za hormone zenye oestrogen peke yake au mchanganyiko wa oestrogen na progesterone husaidia sana kuongeza mzunguko wa damu kwa wanawake wenye matatizo ya homoni lakini pia wale ambao umri umeenda kwani dawa hizi huongeza mzunguko wa damu kwenye sehemu za uke kupata hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Lakini pia cream za oestrogen na progesterone huweza kutumika pia kwa kupaka kwenye uke.
 
Matumizi ya mvinyo: mvinyo au wine ikitumika kwa kiasi kidogo labda glass moja au mbili huongeza msukumo wa damu kwenye kinembe cha mwanamke na kumletea hamu ya kufanya tendo la ndoa. Mfano amarula, red wine, white wine na kadhalika.
 
pata likizo na mapumziko; si rahisi kulala na mtu kitanda kimoja na mazingira yaleyale kwa zaidi ya miaka kumi bila kuchokana na hali hii huwatokea sana wana ndoa..hebu jaribuni kusafiri pamoja kubadilisha mazingira na kushiriki tendo la ndoa kwenye mazingira mapya wakati mwingine mwanamke aende kwa wazazi wake hata kwa wiki mbili mpaka tatu kwa mwaka kutembea ili mpate nafasi ya kukumkumbukana.
 
MWISHO; mchanganyiko wa njia nilizotaja hapo juu zinaweza kusaidia sana kuliko kuchagua njia moja tu, hivyo unaweza ukatumia njia tofauti tofauti hapo ili kupata suluhisho la kudumu japokua virutubisho vya multimaca zimeonyesha uwezo wa hali ya juu ya kutibu tatizo hilo. kama uko kwenye mahusiano ambayo unajua kabisa moyo wako haupo hapo au hisia zimekwisha hasa kabla ya ndoa ni bora kua muwazi tu na kuvunja mahusiano kuliko kuendelea kudanganyana kwani huko mbele ya safari itakua taabu zaidi na usiolewe kumridhisha mtu, olewa kwasababu hisia zako ziko pale kwa uhakika.
 
Back
Top Bottom