Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-15-00-34-26.png
 
BAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
IMG_20171015_222913_478.jpg


Hii thread ya kupeana likes ilianza kama mzaha mzaha saa hizi kumejaa sana tena sana watu wanabeba likes zao za kutosha

Makapuku forum humu wanakaa na kutulia tuliii shubaaamit!

Post ya kwanza kabisa ilikuwa ya perfectz


Screanahot iko gud imewamulikaaa
 
Back
Top Bottom