HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,182 konge said: Click to expand... STILL D.R.E
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,184 DRE & SNOOP - Still D.R.E
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,186 konge said: Click to expand... Je wajua Siri ya Watatu hawa? Shuka chini
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,187 EMINEM (Slim Shady) alimchukua FIFTY akampeleka Studio za Aftermath (Studio hizi zipo chini ya Mzee DRE) ili kumkutanisha na DRE. Na hii yote ni baada ya EMINEM kuzisikiliza kazi za FIFTY akaamua kumpeleka (kumkutanisha) FIFTY kwa DRE ili FIFTY atengenezewe Kazi zake. Shuka chini
EMINEM (Slim Shady) alimchukua FIFTY akampeleka Studio za Aftermath (Studio hizi zipo chini ya Mzee DRE) ili kumkutanisha na DRE. Na hii yote ni baada ya EMINEM kuzisikiliza kazi za FIFTY akaamua kumpeleka (kumkutanisha) FIFTY kwa DRE ili FIFTY atengenezewe Kazi zake. Shuka chini
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,188 Walipofika kwa Mzee DRE (Studio za Aftermath), EMINEM akawakutanisha Kikazi wawili hawa ambao ni FIFTY na DRE. Shuka chini
Walipofika kwa Mzee DRE (Studio za Aftermath), EMINEM akawakutanisha Kikazi wawili hawa ambao ni FIFTY na DRE. Shuka chini
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,189 DRE akapewa Kazi za FIFTY na akazisikiliza zote kwa umakini. DRE alipomaliza kuzisikiliza Kazi za FIFTY, DRE ikabidi amshauri FIFTY jina la Album iwe GET RICH OR DIE TRYING. Ingawa FIFTY mwenyewe hakuridhika. Ila DRE akaendelea kumsisitiza jina la Album iwe GET RICH OR DIE TRYING. Unajua FIFTY mwenyewe alitaka Album yake ya GET RICH OR DIE TRYING ipewe jina gani? Shuka chini
DRE akapewa Kazi za FIFTY na akazisikiliza zote kwa umakini. DRE alipomaliza kuzisikiliza Kazi za FIFTY, DRE ikabidi amshauri FIFTY jina la Album iwe GET RICH OR DIE TRYING. Ingawa FIFTY mwenyewe hakuridhika. Ila DRE akaendelea kumsisitiza jina la Album iwe GET RICH OR DIE TRYING. Unajua FIFTY mwenyewe alitaka Album yake ya GET RICH OR DIE TRYING ipewe jina gani? Shuka chini
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,190 21 Questions. Sema baadae Album ilipotoka rasmi FIFTY aliupongeza uamuzi wa DRE. Kwamba imefaa sana Album hiyo kuitwa GET RICH OR DIE TRYING. Na unajua kingine ndani ya Album hiyo ni kipi? Shuka chini
21 Questions. Sema baadae Album ilipotoka rasmi FIFTY aliupongeza uamuzi wa DRE. Kwamba imefaa sana Album hiyo kuitwa GET RICH OR DIE TRYING. Na unajua kingine ndani ya Album hiyo ni kipi? Shuka chini
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,191 DRE akakiongezea Kibao cha kuitwa IN DA CLUB. Ingawa FIFTY hakukitaka Kibao hicho kiwemo ndani ya Album yake. Cha ajabu Kibao kilichoongezewa (IN DA CLUB) ambacho FIFTY hakukitaka, Ndicho kilichobamba ndani ya Album hiyo ya kuitwa GET RICH OR DIE TRYING
DRE akakiongezea Kibao cha kuitwa IN DA CLUB. Ingawa FIFTY hakukitaka Kibao hicho kiwemo ndani ya Album yake. Cha ajabu Kibao kilichoongezewa (IN DA CLUB) ambacho FIFTY hakukitaka, Ndicho kilichobamba ndani ya Album hiyo ya kuitwa GET RICH OR DIE TRYING
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,192 FIFTY CENT - In da Club
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,194 mzee wa liver said: Nyoka ni muhimu kuwa katika dunia yetu Click to expand... Kiongozi. Mimi naogopa sana Nyoka
mzee wa liver said: Nyoka ni muhimu kuwa katika dunia yetu Click to expand... Kiongozi. Mimi naogopa sana Nyoka
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,195 mzee wa liver said: Nyoka ni nyoka hakuna mpole Click to expand... Mie na hao Wadudu. Sitaki mazoea nao hata kidogo
mzee wa liver said: Nyoka ni nyoka hakuna mpole Click to expand... Mie na hao Wadudu. Sitaki mazoea nao hata kidogo
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,196 mzee wa liver said: Mchonga Click to expand... Baba wa TAIFA
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,197 mzee wa liver said: Yap mkuu Click to expand...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,198 mzee wa liver said: Amen tupo mkuu habari za jumapili Click to expand... Njema Kiongozi. Mungu anasaidia sana Kiongozi. Nashukuru sana Kiongozi. Vipi na wewe upande wako Kiongozi?
mzee wa liver said: Amen tupo mkuu habari za jumapili Click to expand... Njema Kiongozi. Mungu anasaidia sana Kiongozi. Nashukuru sana Kiongozi. Vipi na wewe upande wako Kiongozi?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 16, 2017 #448,199 mzee wa liver said: Respect sana kwake Click to expand...