Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadharia yake ya Relativity aliielezea kirahisi rahisi?

Kwema mkuu?

Safi mkuu! Hebu wewe fikiria, miaka ya 1900 huko mtu anatoa nadharia kama hizo ambazo mpaka leo watu wa generation yetu wanazifanyia proof, na bado inawachukua miaka kadhaa kuja na uhakika wa uhakiki wao! Alijitahidi sana kuielezea aisee! Hivi Wale jamaa watatu walioshida Noble prize ya Physics kwa 2017 si walikuwa wana fanya muendelezo wa hiyo law of relativity? Hebu ngoja niingie chimbo kidogo! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…